Habari

KAILIMA ATAKA KUTATULIWA KWA CHANGAMOTO YA UPELELEZI KUCHELEWA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Ramadhani Kailima ameitaka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kushughulikia mambo muhimu sita ili kuboresha utendaji kazi na kutatua changamoto za uratibu wa Upelelezi.... Soma zaidi
Imewekwa: Mar 10, 2022

MKUU WA MKOA AMEWATAKA WAENDESHA MASHTAKA NA WAPELELEZI KUFANYA KAZI KWA WELEDI
Mkuu Wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa Mhandisi Robert Gabriel aliwataka Waendesha Mashtaka na Wapelelezi kufanya kazi kwa weledi na ubunifu katika utendaji wao wa kazi wa kila siku.... Soma zaidi
Imewekwa: Mar 05, 2022
MFUMO UTASAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA KIUTENDAJI - DPP
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylvester Mwakitalu amesema kuwepo kwa mfumo wa kielekitroniki wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kutasaidia kutatua changamoto nyingi za kiutendaji... Soma zaidi
Imewekwa: Mar 03, 2022
UPELELEZI MZURI NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTOAJI HUKUMU YA HAKI - DPP
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu amesema Upelelezi mzuri ni nguzo muhimu katika kuhakikisha kuwa hukumu inatolewa vizuri na kwamba usipofanyika vizuri wahalifu hawataweza kupatikana.... Soma zaidi
Imewekwa: Mar 01, 2022
CHANGAMOTO ZISIWE KIKWAZO CHA KUACHA KUUTUMIA MFUMO - KAIMU NAIBU DPP
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka amewataka Wakuu wa Mashtaka wa Wilaya na Waendesha Mashtaka Viongozi kutokuacha kuutumia mfumo wa kielekitroniki sababu ya changamoto yoyote ile itakayotokea wakati wakitumia mfumo huo kwani changamoto ni sehemu ya kuendelea kujifunza na hutokea katika mfumo wowote ule.... Soma zaidi
Imewekwa: Feb 26, 2022
KAIMU MKURUGENZI ATOA WITO KWA WAKUU WA MASHTAKA WA WILAYA NA WAENDESHA MASHTAKA VIONGOZI
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Uendeshaji wa Kesi Bi. Neema Mwanda amewataka Wakuu wa Mashtaka wa Wilaya na Waendesha Mashtaka Viongozi kwenda kuwa waalimu kwa wengine kwenye vituo vyao vya kazi... Soma zaidi
Imewekwa: Feb 25, 2022