Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kondoa
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kondoa
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kondoa Jijini Dodoma imeanzishwa rasmi mwezi mwaka 2019.
Ofisi hiyo Inapatikana katika mtaa wa Kilimani karibu na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Kondoa ni pamoja na Makosa ya Usafirishaji na utumiaji wa dawa za kulevya, ubakaji, ulawiti na mauaji
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kondoa
S. L. P. 32
Kondoa - Dodoma
