Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka
  • NAIBU MKURUGENZI WA MASHTAKA
  • Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Mkurugenzi wa Mashtaka na atafanya majukumu yake kadri atakavyoelekezwa na Mkurugenzi wa Mashtaka. Aidha Naibu Mkurugenzi wa mashtaka atakuwa ndiye afisa masuuli wa taasisi na atasimamia shughuli za kila siku za taasisi na atakuwa mamlaka ya nidhamu ya watumishi kwa mujibu wa kanuni na sheria za utumishi wa umma. Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka ataandaa kanuni za nidhamu kwa waendesha mashtaka na kuhakikisha viwango vya kimataifa vinazingatiwa na ndiye atatunza kumbukumbu za waendesha mashtaka wa umma.