Dira, Dhamira na Misingi Mikuu ya NPS
Dira, Dhamira na Misingi Mikuu ya NPS
DIRA
Huduma Bora za Mashtaka kwa wakati na usawa kwa wote.
DHIMA
Kuhakikisha huduma za Mashtaka zinazotolewa kwa ufanisi, tija kwa kuzingatia weledi, uadilifu na ushirikishaji wa wadau.
MAADILI YA MSINGI
Maadili ya Msingi ni-
(i)Uwajibikaji: kuwajibika katika utekelezaji wa majukumu kwa wakati;
(ii)Kukubalika: uthabiti na uwezo wa kuaminika na kuthaminiwa;
(iii)Uadilifu:kwa maadili na uaminifu bila kuvumilia vitendo vya rushwa na ubadhirifu;
(iv)Uweledi: kwa kujituma,kujitoa,umahili na utaalamu ndani na nje ya ofisi;
Huduma bora:kwa kutoa huduma bora kwa kufanya kazi pamoja ,heshima na adabu