Ofisi ya Mashtaka ya Mkoa wa Tanga 
                                    
                                  
                                                
                            
   
                         
                                    
                                        Ofisi ya Mashtaka ya Mkoa wa Tanga 
                                    
                                  
                                MKOA-TANGA.
Mkoa wa Tanga ni kati ya Mikoa 26 ukiwa kaskazini mashariki mwa Tanzania wenye eneo la ukubwa wa kilomita za Mraba 27,348. Shughuli kuu za uzalishaji mali katika Mkoa wa Tanga kwa kiasi kikubwa hutegemea kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, usafirishaji na viwanda na Utalii. Mkoa wa Tanga una idadi ya watu 2,615,597 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na makazi ya mwaka 2022. Makosa ya jinai makubwa yanayotendeka zaidi katika Mkoa huu ni mauaji, ubakaji, dawa za kulevya, ulawiti na wizi.
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika Mkoa wa Tanga iko katikati ya Jiji la Tanga eneo la Bandari ya Tanga.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa waTanga
S. L P 418.
Eneo / Mtaa -Bandari
Barua pepe:tanga@nps.go.tz
Tovuti: www.nps.go.tz
