Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MeiMosi) ambapo Kitaifa imeadhimishwa tarehe 01 Mei, 2025 kwenye viwanja vya Bombadia Mkoani Singida.
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka walioshiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika tarehe 1 Mei, 2025 Mkoani Singida
Jaji Mfawidhi wa Mahamaka Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro Mhe. Rose Ebrahim akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo kwa wadau wa Haki Jinai kuhusiana na Uchunguzi wa Makosa ya Kifedha na Uchunguzi wa Kisayansi yaliyofanyika Mkoani Morogoro.
Jaji Mfawidhi wa Mahamaka Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro Mhe. Rose Ebrahim akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo kwa wadau wa Haki Jinai kuhusiana na Uchunguzi wa Makosa ya Kifedha na Uchunguzi wa Kisayansi yaliyofanyika Mkoani Morogoro.
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bi. Bibiana Kileo akikata keki kuashiria upendo na umoja kwa wanawake wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka mara baada ya kushiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yalifanyika tarehe 8 Machi, 2025 Jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akisalimiana na Mkuu wa Hifadhi ya Mikumi Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi TANAPA, Augustino Masesa mara baada ya kutembelea hifadhi ya Mikumi.
Picha ya pamoja ikijumuisha Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu, Mkuu wa Hifadhi ya Mikumi Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi TANAPA, Augustino Masesa wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka mara baada ya kutembelea hifadhi ya Mikumi
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akipokea zawadi ya tuzo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bi. Bibiana Kileo ambayo imeandaliwa na wanawake wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake katika taasisi.
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bi. Bibiana Kileo akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wanawake kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma mara baada ya kushiriki kwenye Kongamano la Kanda ya Kati lililofanyika tarehe 3 Machi, 2025 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mwongozo wa Upelelezi na Uendeshaji wa Mashauri ya Makosa ya Kimtandao uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 13 Februari, 2025.