Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Bw Sylvester .A .Mwakitalu
Sylvester .A .Mwakitalu photo
Bw Sylvester .A .Mwakitalu
Mkurugenzi wa Mashtaka

Barua pepe: dpp@nps.go.tz

Simu: 0262963634

Wasifu

Ndugu. Sylvester Mwakitalu , aliteuliwa tarehe 11, Mei 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka