Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Masasi

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imeanzishwa rasmi mwaka 2023.

Ofisi hiyo inapatikana  mtaa wa Migongo, katika jengo la Halamshauri ya Mji Masasi

 Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Masasi  ni pamoja na  Mauaji na kusafirisha Dawa za Kulevya

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Masasi

S. L. P. 145

Masasi