Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Rufiji

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani imeanzishwa rasmi mwezi Januari, 2025.

Ofisi hiyo Inapatikana katika Jengo la Boma – Utete.

Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Rufiji ni pamoja na Usafirishaji wa madawa  ya  Kulevya, Ubakaji, Ulawiti, Kuingia hifadhini bila kibali, kukutwa na nyara za serikali, kuvunja na kuiba pamoja na unyang’anyi wa kutumia silaha

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Rufiji

S. L. P. 54

Utete