Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Mvomero
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Mvomero
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro imeanzishwa rasmi mwezi Novemba, 2024.
Ofisi hiyo Inapatikana katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mvomero, Kijiji cha Wami Sokoine, Kitongoji cha Kanisani, Kata ya Dakawa.
Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Mvomero ni pamoja na Mauaji, Unyang’anyi wa kutumia silaha, kubaka, kulawiti, kujihusisha na dawa za kulevya, kujeruhi pamoja na kukutwa na nyara za kulevya.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Mvomero
S. L. P. 1815
Mvomero- Morogoro
