Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Misenyi
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Misenyi
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Misenyi Jijini Mwanza imeanzishwa rasmi mwezi Novemba, 2024.
Ofisi hiyo Inapatikana katika mtaa wa Maruwashi, karibu na jingo la Halmashauri ya Wilaya ya Misenyi
Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Misenyi ni pamoja na Makosa ya Ukatili wa kijinsia, Usafirishaji wa Dawa za Kulevya, mauaji na makosa ya uhamiaji haramu.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Misenyi
S. L. P. 32
Misenyi
