Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Chalinze

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani imeanzishwa rasmi mwaka 2023.

Ofisi hiyo Inapatikana Chalinze mjini,  kata ya Pera, Mtaa wa mashine ya mbao, karibu na shule ya msingi Chalinze

Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Chalinze ni pamoja na Makosa ya GBV,Kupatikana na Nyara za Serikali ,Mazao ya Misitu, kuingia hifadhini bila kibali, Usafirishaji wa wahamiaji haramu, wizi wa mifugo na Mauaji.

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Chalinze

S. L. P. 58

Chalinze.