Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Sengerema

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Sengerema Jijini Mwanza imeanzishwa rasmi mwaka 2023.

Ofisi hiyo Inapatikana katika jingo Namba  119, Bukala barabara ya Busisi karibu na sheli ya Silya

Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Sengerema ni pamoja na Makosa ya Ukatili wa kijinsia, mauaji na makosa ya misitu

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Sengerema

S. L. P. 315

Sengerema - Mwanza