Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kibiti
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kibiti
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani imeanzishwa rasmi Septemba, 2025.
Ofisi hiyo inapatikana katika mtaa wa Mtaa wa Saro karibu na msikiti
Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Iramba ni pamoja na Kulawiti, ubakaji, kukutwa na nyara za serikali, wizi wa korosho pamoja na ufuta
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kibiti
S. L. P. 09
Kibiti
