Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kilindi
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kilindi
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kilindi Mkoani Songea imeanzishwa rasmi mwaka 2024.
Ofisi hiyo inapatikana katika mtaa wa Majumba matano. Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Kilindi ni pamoja na Unyang’anyi wa kutumia silaha, mauaji na kujeruhi.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kilindi
S. L. P. 76
Eneo/Mtaa – Majumba Matano
Tovuti: www.nps.go.tz
