Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Nkasi

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa imeanzishwa rasmi mwezi Machi, 2023.

Ofisi hiyo Inapatikana katika Mtaa wa Nkomolo, jingo namba 0423,  ipo karibu na ofisi za TAWA na ofisi za Halmashauri za Wilaya ya Nkasi.

 

 Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Nkasi ni pamoja na Wizi wa nyara za Serikali, uvuvi haramu, ubakaji na ukatili wa kijinsia

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Nkasi

S. L. P. 09

Namanyere - Nkasi