Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Iramba
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Iramba
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Iramba Mkoani Singida imeanzishwa rasmi Novemba, 2024.
Ofisi hiyo inapatikana katika mtaa wa Mtaa wa Lulumba ndani ya jengo la World Vision Fund
Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya ya Iramba ni pamoja na Mauaji, Kulawiti, ubakaji, kujeruhi,wizi, shambulio la aibu, unyang’anyi wa kutumia silaha, kujaribu kuua
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Kilindi
S. L. P. 03
Kiomboi Iramba
