Bi. Bibiana Joseph Kileo
Bi. Bibiana Joseph Kileo

Wasifu
Ndugu. Bibiana Joseph Kileo , aliteuliwa tarehe 04, Aprili 2024 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka