Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

Karibu

Uongozi na Menejimenti nzima pamoja na Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, unapenda kuwakaribisha wadau wote kwenye Tovuti ya ofisi. Tovuti hii imesanifiwa kiufundi na maalum kwa ajili ya kutoa taarifa kwa wadau ndani na nje ya nchi juu ya masuala ya uendeshaji wa mashtaka.