Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Ikikabidhiwa vifaa vya TEHAMA
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Ikikabidhiwa vifaa vya TEHAMA
27 May, 2020

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Bw:Biswalo E.K Mganga wa nne kutoka kushoto , na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bw: Edson Makalo wa nne kutoka kulia pamoja na timu Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya TEHAMA kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA),wa sita kutoka kulia ni Bw:Joannes Karungura Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ( TCRA ) ambaye ndie aliyekabidhi vifaa hivyo.