Tume ya kuboresha masuala ya Haki Jinai
Tume ya kuboresha masuala ya Haki Jinai
14 Mar, 2023
9:00AM - 12:00AM
Dodoma
info@nps.go.tz
Tume ya kuboresha masuala ya Haki Jinai inatarajia kutembelea Ofisi ya Taifa ya Mashtaka mnamo tarehe 14 Machi, 2023 katika Ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma
