Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr. John Magufuli amemwapisha Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
27 Jun, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr. John Magufuli amemwapisha Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr. John Magufuli amewaapisha Majaji 10, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali aliowateua hivi karibuni.