Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Bw:Biswalo E.K Mganga akikabidhiwa vifaa vya TEHAMA kutoka TCRA
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Bw:Biswalo E.K Mganga akikabidhiwa vifaa vya TEHAMA kutoka TCRA
27 May, 2020

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Bw: Biswalo E.K Mganga akikabidhiwa vifaa vya TEHAMA kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) katika hafla fupi iliyofanyika katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka mjini Dodoma, kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Bw: Joannes Karungura