Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

Jopo Mawakili wa serikali
05 Aug, 2020
Jopo Mawakili wa serikali

Mahakama ya rufaa ya Tanzania imetengua uamuzi wa Mahakama kuu ya Tanzania uliotamka kuwa kifungu cha 148(5) cha sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai kina kinakizana na ibara ya 13(6) na 15(1) na (2) za katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika rufaa ya 175 ya 2020 iliyofunguliwa na mwanasheria mkuu wa serikali dhidi ya bwana Dickson Paul Sanga,mahakama ya rufaa imeamaua kuwa kifungu hicho kipo kisheria na hakiuki matakwa ya Katiba