Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

Dhahabu kiasi cha kilogramu 27.4 yenye thamani ya shillingi 2.968 Bilioni
19 Jun, 2020
Dhahabu kiasi cha kilogramu 27.4 yenye thamani ya shillingi  2.968 Bilioni

Dhahabu kiasi cha kilogramu 27.4 yenye thamani ya TZS 2.968 Bilioni ambayo imetaifishwa mnamo tarehe 16/6/2020 baada ya Ofisi ya Mashtaka Wilayani Tarime kumfikisha Mahakamani mshitakiwa Bwaweshi Gandecha na Mahakama kutoa amri ya kutaifisha dhahabu hiyo na pia kuagiza mshitakiwa huyo kulipa faini na fidia inayofikia TZS 315 milioni