Kikao kazi cha Menejimenti
Kikao kazi cha Menejimenti
13 Feb, 2023
07:00am - 6:00PM
Dodoma
info@nps.go.tz
Kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Wakuu wa Mashtaka wa Mikoa kilichofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 14 Februari, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Taifa Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma.
