Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NATIONAL PROSECUTIONS SERVICES

TANZIA
23 Dec, 2023 10:00AM - 06:00PM
KAHAMA
0763257248

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylivester Mwakitalu anasikitika kutangaza kifo cha Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Joseph Pande kilichotokea tarehe 20 Desemba, 2023 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam 

Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 23 Desemba,2023 Mkoani Shinyanga katika Wilaya ya Kahama

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

TANZIA