KENYA WAKABIDHI DHAHABU KWA MHE. RAIS
KENYA WAKABIDHI DHAHABU KWA MHE. RAIS
28 Aug, 2019

Wawakilishi wa Jamhuri ya Kenya wakimkabidhi Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli dhahabu zilizokua zimetoroshwa kutoka Tanzania kwenda nchini Kenya ambazo Kenya walizirudisha nchini ili zitumike kama kielelezo kwenye kesi iliyofunguliwa Mwanza