Habari

Ni kikao cha kihistoria- DPP

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu amesema kikao cha pamoja kilichofanywa kati ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, TAKUKURU na Ofisi ya Upelelezi.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 02, 2021

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMDANGANYA DPP KUWA NI MAOFISA USALAMA WA TAIFA

Mfanyabiashara, Joshua Jelemia (37) na Yahaya Abdallah (31) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam kujibu mashtaka mawili ya kujifanya Maofisa Usalama wa Taifa (TISS) katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) na naibu mkurugenzi wa mashtaka.... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 19, 2021

DPP MWAKITALU AHITIMISHA ZIARA KATIKA MAGEREZA YA UKONGA,KEKO NA SEGEREA AHAIDI KUPELEKA MAHAKAMANI KESI ZENYE USHAHIDI.

DPP MWAKITALU AHITIMISHA ZIARA KATIKA MAGEREZA YA UKONGA,KEKO NA SEGEREA AHAIDI KUPELEKA MAHAKAMANI KESI ZENYE USHAHIDI.... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 13, 2021

DPP MWAKITALU ATEMBELEA NA KUKAGUA HALI YA MAGEREZA UKONGA NA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM

DPP MWAKITALU ATEMBELEA NA KUKAGUA HALI YA MAGEREZA UKONGA NA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM, AAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 12, 2021

​WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA

Washtakiwa watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa Kijiji cha Usalule kilichopo Mkoani Njombe wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.... Soma zaidi

Imewekwa: May 04, 2021

RAIA 7 WA IRAN WAFIKISHWA MAHAKAMANI LINDI KWA KUSAFIRISHA HEROIN KILO 504.36

RAIA  saba wa Iran akiwemo nahodha wa boti, Jan Miran (42) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha heroin zenye uzito wa kilo 504.36 na Methamphetamine zenye uzito wa kilo 355.... Soma zaidi

Imewekwa: May 04, 2021