Kitengo cha Masijala ya Sheria
Kitengo cha Masijala ya Sheria
Lengo: kutoa huduma za masjala katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.
Kitengo hiki kitakuwa na majukumu yafuatayo:
(i) Kusajili na kutunza rejesta ya kesi zote zilizofunguliwa mahakamani na zina zoshughulikiwa na mkurugenzi wa mashtaka;
(ii) Kupeleka nyaraka zinahusiana na kesi zinazomuhusu mkurugenzi wa mashtaka;
(iii) Kutunza majalada ya kesi zinazoshughulikiwa na mkurugenzi wa mashtaka; na
(iv) Kupokea na kutuma majalada ya kesi kutoka na kwenda kwa taasisi uchunguzi.
Kitengo kitaongozwa na Katibu Sheria Mkuu.