Ofisi ya Mashtaka Wilaya ya Chato
Ofisi ya Mashtaka Wilaya ya Chato
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Chato Mkoani Geita imeanzishwa rasmi mwaka 2018 kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi.
Ofisi hiyo inapatikana katika jengo la halmashauri ya Chato eneo la mlimani, Makosa makubwa yanayojitokeza katika wilaya hiyo ni kesi za kuingia ndani ya hifadhi na Mauaji.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Wilaya ya Chato
S. L P 119
Eneo/Mtaa -halmashauri ya Chato
Tovuti: www.nps.go.tz